Kuachwa kusikieni tu!

Maisha yalivyo ya ajabu, waweza kuta jamaa mwenye penzi jipya na Manzi wako ni hawa hawa wanaokupa hop au kaangukia kwa akina Deep wa hapa JF maplay boy baada ya miezi 6 anarudi kwako kwa Spidi ya Ngiri.

Mtafute manually mkutane live mchenjie na kumzingua ikiwezekana mpige Karantini mjengoni siku 3.

Fake kuumwa uwekewe madrip hom au zahanati apigiwe na namba ngeni/nesi amuite hospital kam mwangalizi.
Make any smpathy ambayo itafanya aaaihairishe mpango wake wa kukuacha mdogo wangu. Usikubali kuachwa kinyonge mjini hapa komaaaa.

Chukua namba yake ya Benki tia milioni 5 mwambie....
Any way pole mkuu!
 
Naogopa kucomment isije kuwa huyo pisi ndiye nimempata jana!
 
Kama amekula maokoto yako mengi, njoo Tumroge akurudie au afe
 
Time heals mdogo wangu.

Ukweli uliousema ni kuwa si kila mtu pengo lake linazibika, unajifunza tu kuishi bila yeye…. (Haya ni maneno niliyotoka kumwambia rafiki jana, given his situation ya kuachwa gafla na mtu aliyepanga kumuoa na kufika naye mbali)

Ana hiyo second option yake lakini hayuko sure kama anaitaka, nimemwambia tu asubiri akiona ameheal ndio anaweza fanya maamuzi sahihi.
 
Mpiga masta demu anamtingishia kiberiti kapanic na ameandika had uzi[emoji16].

Haya ndo madhara ya masta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…