Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,279
- 14,560
Maamuzi, kunamuda inabidi ujizoeshe katika ubongo kumeza vitu vigumu, si lazima kukalili ujinga kila siku.Mbona siku hizi umekuwa na busara sana kwenye maandiko yako? Ni uzee au AI inakusaidia.
Baraka za bwana zikuangazie nawe pia.Ubalikiwe sana mtumish mjusi bishoo
Mungu akutunzeMaamuzi, kunamuda inabidi ujizoeshe katika ubongo kumeza vitu vigumu, si lazima kukalili ujinga kila siku.
AMINABaraka za bwana zikuangazie nawe pia.
Shukrani ndugu.Mungu akutunze