Bro never feel bad when someone reject you..co people always reject expensive things and go to cheap stuffs
Duh! Hii comment jamaa amejuta kuanzisha uzi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ww hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani ( kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!!.....this is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!!!
don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Sijaachwa ila nimeacha baada yakuona hatuendani natunapotezeana mda maana nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka watatu sasaUmeachwa au Umeacha?
Kama umeacha kwann uumie ili hali mpaka Unaacha ulikua umeshapata mwingine?
Ila kama umeachwa, Mzee baba ,hukujua kusoma nyakati za alama.
Hahahaha mkuu nipe mkeo atakusimulia magoli [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani (kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!!..his is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!
Don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Hahahaha mkuu nipe mkeo atakusimulia magoli [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemuacha halafu bado unamuwaza hujui Kama unatudanganya mzee kama watoto wa vidudu!!Sijaachwa ila nimeacha baada yakuona hatuendani natunapotezeana mda maana nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka watatu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipende KUACHA kama hauna uhakika wa ustahimilivuSijaachwa ila nimeacha baada yakuona hatuendani natunapotezeana mda maana nipo nae kwenye mahusiano huu mwaka watatu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ww hujamuacha sema nimepigwa kibuti na demu wangu baada ya kukuona huna future naye kwanza huumpi matunzo vizuri, mzembe kitandani ( kibao kimoja chali kama nguruwe), unapenda kukaliwa tu kwa juu, kiuno chako kigumu hata kupump shida kwenye kifo cha mende dk 2 tu umechoka hoi!!.....this is 2020 badilika mzee acha kula chips mayai gonga ugali dona wa nguvu na matunda kwa wingi!!!
don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Mkuu mapenzi yatakupeleka pahala pabaya la utawehuka,mbona kitu simple tu toa kitu ingiza kitu hapo hutomuwaza tena huyo x wako..kama una jinsia ya kike nipm tuyajengeNajaribu kumuacha mpenzi wangu ila siri yangu yaani ninavyoumia acheni2. Yaani mchana unashinda vizuriiii ikifika usiku2 mawazo yanaanza, unaanza kushindana naupepo usizimishe kibatari.
Naishamblock simblokui dadeki kufa sifi ila nisipougua madonda yatumbo aiseee sidhani maana nisiri yangu jinsi ninavyojifeel bad.
Usiku mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilijiandaa kwaajili yahaya maumivu so acha nilivumilieSasa unaumia nn???Usipende KUACHA kama hauna uhakika wa ustahimilivu
Nandio ngoma yangu hii mkuu nandio ilinipa moyo wakuiacha hii skrepa niliwaza Mbona Roma kaweza kuachana namke kabisa sembuse mimi hawala2sikiliza ngoma ya stamina utafarijika