Kuachana na Umeme wa kukodi (Ushauri kwa Tanesco na Serikali)

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,432
Hii habari ya Capacity charges ya makampuni ndo imefilisi nchi hii na Tanesco kwa ujumla. Ni sababu hizi Tanesco ilifanywa kama eneo muhimu la wakubwa kuvuna ma million nakujifanya madalali wa waekezani.

Sasa nimesoma taarifa kwamba Tanesco imeachana na umeme wa kukodi kama IPTL,symbion nk. Hii ni jambo zuri. Mie nashauri kwa kuwa mamitambo kao Dar Es Salaam basi kampuni husika ziweke mitambo ya gas na wauze umeme kwa Tanesco kama bidhaa za kawaida ili kufikia lengo la kuzalisha 10,000MW ifikapo 2020. Halafu Tanesco wa seti bei elekezi wanayoweza kununua umeme kutoka kwa watu binafsi ili mtu anayetaka kuzalisha na kuuzia Tansco absi afanyen hivyo. ni vizuri hizo bei ziwe wazi ili kuachana na tabia ya wakubwa kutafuta 10% wakati wananegotiate makataba.

Asanteni
 
Kwanza tusubiri mgao wa ajabu kwa kuwaacha hao akina Symbion na IPTL
 
Back
Top Bottom