Kuacha ngono ni msingi wa maisha bora na ya furaha katika maisha ya mwanadanu.
Kimaendeleo na upendo bora ndani ya ndoa yako hutokaa ujutie.
Kutoka nje ya ndoa ni mvurugano wa moyo na akili ambayo mwishoni husababisha mpasuko wa ndoa na hata kuwa na mfadhaiko ktk maisha yako.
Nimewaza nikagundua kuwa "Afya, furaha na amani ndani ya ndoa ni kudumu kuwa mwaminifu kwa mwenzii na kutomba wenyewe kwa wenyewe sawa sawa".