Tunaisubiri serikali ya Maalim Seif!
What are you trying to avail?A whore don't chose a man to sleep with.Money is the first priority.
Read between the line.America,China,Russia,India etc.What are you trying to avail?
kugunduliwa kwa gesi na sasa helium, kunapelekea Tanzania kuuaga kabisa umasikini, tunaelekea kuwa ni nchi ya kipato cha kati, hivyo madeni yote hayo ya miaka 50, tutayalipa ndani ya miaka 5 tuu ya petrodollars na gas-dollars!.Nina wasiwasi China imeshtuka na baada ya hapo Serikali imedandia uhindini ,ahadi kedekede za kufunga bajaji na bajia ,kuna nchi imepiga marufuku bajaji hapa inaonekana kuzivamia kama kutengeneza na kuendeleza viwanda kwa nini isiendelezwe ile karakana inayotengeneza magari Nyumbu. Tunamuita mhindi aje atuletee maTATA.
Wanaotengeneza Nyumbu wangeboreshwa na aidha kupelekwa kusomea zaidi ili warudi na miundo mipya ila ya kuleta mambo kutoka uhindini itakuwa tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele ,ni viwanda vingapi vilikuwepo vikataifishwa mwishowe vilifikia wapi ? Vilikufa au sio.
Zaidi niliyoyaona wahindi wamekuja kutukopesha hela na kutuzidishia deni la Taifa ! Ndani ya mwaka mmoja wa serikali hii tumeanza kukopa mamilioni ya Dola ,haya ikifika miaka minne itakuwaje ,msiniambie mtaanza kulilipa deni !
Definitely..!A whore don't chose a man to sleep with.Money is the first priority.
Mkuu unaisemea serikali hii ya Magufuli au ni maoni yako ambayo unahisi akipita atayasoma na kuyafanyia kazi?kugunduliwa kwa gesi na sasa helium, kunapelekea Tanzania kuuaga kabisa umasikini, tunaelekea kuwa ni nchi ya kipato cha kati, hivyo madeni yote hayo ya miaka 50, tutayalipa ndani ya miaka 5 tuu ya petrodollars na gas-dollars!.
Tanzania ndio mchimbaji pekee wa Tanzanite dunia nzima, ila kwenye soko la dunia, India ndio the biggest exporter wa Tanzanite!, kinachokosekana Tanzania ni uchorongaji tuu, tunapoelekea kwenye Tanzania ya viwanda, lazima kwanza tujikubali hatuna the capacity, the ability and the know how!, hivyo lazima tushirikiane na wenye uwezo, (ability), wenye jinsi ya mitaji, (Capacity) na ujuzi (know how), kiwanda cha kuchoronga Tanzanite kijengwe Mererani, iwe hakuna tena ku export raw Tanzania, hivyo Tanzania ndio awe muuzaji mkuu na pekee wa Tanzanite kwenye soko la dunia!.
Tutafanya vivyo hivyo kwa korosho, pamba, alizeti etc, badala ya kuuza mazao, tuuze finished products!.
Pasco
Mkuu kwa mitaji ya viwanda vya juice.Nasikia hatuna uwezo huo yaani matajiri wetu ni madalali.Huoni ni mwendo wa kuwapa wawekezaji kutoka nje na nchi kupata mrahaba wa 4%.kugunduliwa kwa gesi na sasa helium, kunapelekea Tanzania kuuaga kabisa umasikini, tunaelekea kuwa ni nchi ya kipato cha kati, hivyo madeni yote hayo ya miaka 50, tutayalipa ndani ya miaka 5 tuu ya petrodollars na gas-dollars!.
Tanzania ndio mchimbaji pekee wa Tanzanite dunia nzima, ila kwenye soko la dunia, India ndio the biggest exporter wa Tanzanite!, kinachokosekana Tanzania ni uchorongaji tuu, tunapoelekea kwenye Tanzania ya viwanda, lazima kwanza tujikubali hatuna the capacity, the ability and the know how!, hivyo lazima tushirikiane na wenye uwezo, (ability), wenye jinsi ya mitaji, (Capacity) na ujuzi (know how), kiwanda cha kuchoronga Tanzanite kijengwe Mererani, iwe hakuna tena ku export raw Tanzania, hivyo Tanzania ndio awe muuzaji mkuu na pekee wa Tanzanite kwenye soko la dunia!.
Tutafanya vivyo hivyo kwa korosho, pamba, alizeti etc, badala ya kuuza mazao, tuuze finished products!.
Pasco
Unacho ongea ni pumba kabisa. Tuna madini chungu nzima ambayo kama tungekuwa na mikataba mizuri hii nchi ndyo ingekuwa inatoa mikopo badala ya kupokea mikopo. Sasa hata wavumbue kinyesi cha shetani kwa huu ujinga tulionao tutaendelea kukopwa na kusamehewa madeni siku zote uku tunanyonywa kwenye maliasil zetu.kugunduliwa kwa gesi na sasa helium, kunapelekea Tanzania kuuaga kabisa umasikini, tunaelekea kuwa ni nchi ya kipato cha kati, hivyo madeni yote hayo ya miaka 50, tutayalipa ndani ya miaka 5 tuu ya petrodollars na gas-dollars!.
Tanzania ndio mchimbaji pekee wa Tanzanite dunia nzima, ila kwenye soko la dunia, India ndio the biggest exporter wa Tanzanite!, kinachokosekana Tanzania ni uchorongaji tuu, tunapoelekea kwenye Tanzania ya viwanda, lazima kwanza tujikubali hatuna the capacity, the ability and the know how!, hivyo lazima tushirikiane na wenye uwezo, (ability), wenye jinsi ya mitaji, (Capacity) na ujuzi (know how), kiwanda cha kuchoronga Tanzanite kijengwe Mererani, iwe hakuna tena ku export raw Tanzania, hivyo Tanzania ndio awe muuzaji mkuu na pekee wa Tanzanite kwenye soko la dunia!.
Tutafanya vivyo hivyo kwa korosho, pamba, alizeti etc, badala ya kuuza mazao, tuuze finished products!.
Pasco
Nini kimekufanya ujipe moyo kwamba yaliyoshindikana kwa miaka 50 yanawezekana leo au ndani ya miaka 5 tuu?kugunduliwa kwa gesi na sasa helium, kunapelekea Tanzania kuuaga kabisa umasikini, tunaelekea kuwa ni nchi ya kipato cha kati, hivyo madeni yote hayo ya miaka 50, tutayalipa ndani ya miaka 5 tuu ya petrodollars na gas-dollars!.
Tanzania ndio mchimbaji pekee wa Tanzanite dunia nzima, ila kwenye soko la dunia, India ndio the biggest exporter wa Tanzanite!, kinachokosekana Tanzania ni uchorongaji tuu, tunapoelekea kwenye Tanzania ya viwanda, lazima kwanza tujikubali hatuna the capacity, the ability and the know how!, hivyo lazima tushirikiane na wenye uwezo, (ability), wenye jinsi ya mitaji, (Capacity) na ujuzi (know how), kiwanda cha kuchoronga Tanzanite kijengwe Mererani, iwe hakuna tena ku export raw Tanzania, hivyo Tanzania ndio awe muuzaji mkuu na pekee wa Tanzanite kwenye soko la dunia!.
Tutafanya vivyo hivyo kwa korosho, pamba, alizeti etc, badala ya kuuza mazao, tuuze finished products!.
Pasco
ikiwa miaka 55 hamukuweza mutaweza leo labda kunywa gongokugunduliwa kwa gesi na sasa helium, kunapelekea Tanzania kuuaga kabisa umasikini, tunaelekea kuwa ni nchi ya kipato cha kati, hivyo madeni yote hayo ya miaka 50, tutayalipa ndani ya miaka 5 tuu ya petrodollars na gas-dollars!.