Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Nina wasiwasi China imeshtuka na baada ya hapo Serikali imedandia uhindini ,ahadi kedekede za kufunga bajaji na bajia ,kuna nchi imepiga marufuku bajaji hapa inaonekana kuzivamia kama kutengeneza na kuendeleza viwanda kwa nini isiendelezwe ile karakana inayotengeneza magari Nyumbu. Tunamuita mhindi aje atuletee maTATA.
Wanaotengeneza Nyumbu wangeboreshwa na aidha kupelekwa kusomea zaidi ili warudi na miundo mipya ila ya kuleta mambo kutoka uhindini itakuwa tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele ,ni viwanda vingapi vilikuwepo vikataifishwa mwishowe vilifikia wapi ? Vilikufa au sio.
Zaidi niliyoyaona wahindi wamekuja kutukopesha hela na kutuzidishia deni la Taifa ! Ndani ya mwaka mmoja wa serikali hii tumeanza kukopa mamilioni ya Dola ,haya ikifika miaka minne itakuwaje ,msiniambie mtaanza kulilipa deni !