Kuacha kula chakula cha usiku kwa mama mja -mzito .....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuacha kula chakula cha usiku kwa mama mja -mzito .....!

Discussion in 'JF Doctor' started by NGOSWE.120, Oct 19, 2011.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wakuu wana JF,

  Naomba kufahamishwa kwa yeyote yule anayefahamu au kushare uzoefu alio-nao:

  1. Mama mja mzito wa miezi saba anaweza kuendelea kula mua/ kudinywa au hairuhusiwi?
  2. kuna swala la kuongeza njia kwa mama mja mzito, je hii njia huwa inaongezwa kwa kudinywa hadi inapotimia miezi 9 au?
  3. Nimewahi kusikia kuwa sio vizuri kufanya tendo la ndoa kwa mama mja mzito kuanzia miezi 7 coz inasababisha siku ya kujifungua kupata aibu kubwa kwa kuanza kutoa mbegu za kiume za mumewe. Je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?

  Natanguliza shukrani za dhati.

  Asanteni sana!
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ikikushinda sana tumia ile style ya MSAADA KWENYE TUTA sio mbaaya
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh! ''KIDINYO'' hii ni kamusi ya wapi mkuu?!
   
Loading...