private mapato mzuka ila wanazingua time yeyote wanakupiga chini govn mapato wanazingua ila uwakika wakudumu upo kama vipi achuklue likizo pasi malipo akasome ramani iko vipi ikiwa namna gani areje kibaruani
Mwambie aende akapige hela... Mambo ya serikalini awwaachie wenginewanaojiebdeleza kwa maana kule ni kwa kusomea tu, huku anakotaka kwenda ndo kwa kujenga maisha. Ningekuwa ni mimi huko serikalini ningepotezea kimyakimya....