Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 151
- 278
Barikiwa Sana nakula Ngoma hapa ni nomaKua uone wanavyokula nchi kua uone wanavyotembea nusu uchi. Kuna sehemu anasema ukikua utayaona mengi utajifunza kuna kuishiwa na kuweka bond......
Mkali hizo ngoma download boomplay app alafu jisajili ingia tafuta "Kings mamluki" utapata wimbo unaotaka
Pamoja sana mkaliBarikiwa Sana nakula Ngoma hapa ni noma