Wandugu habari za mda huu?
Kama kichwa cha habari kilivyo,naomba iwapo kuna mtaalam wa ku UNLOCK Modem ani pm tuongee biashara.
Nina MODEM yangu aina ya Huawei na ni ya Zantel nataka ni UNLOCK ili niweze kutumia lain yoyote
Sent using
Jamii Forums mobile app