misha nyangassa Member Joined Mar 29, 2015 Posts 95 Reaction score 41 Sep 9, 2016 #1 Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?
Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?
misha nyangassa Member Joined Mar 29, 2015 Posts 95 Reaction score 41 Sep 9, 2016 Thread starter #2 Viewing without help is useless
mushiheriel Member Joined Sep 8, 2016 Posts 73 Reaction score 24 Sep 9, 2016 #3 misha nyangassa said: Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa? Click to expand... Cwez kukuelezea vizuri but emb download app inayoitwa(Root without PC) then utapata details zote. Yaan advantages and disadvantages za kuroot cm
misha nyangassa said: Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa? Click to expand... Cwez kukuelezea vizuri but emb download app inayoitwa(Root without PC) then utapata details zote. Yaan advantages and disadvantages za kuroot cm
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Sep 11, 2016 #4 misha nyangassa said: Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa? Click to expand... Usijaribu Stop.!
misha nyangassa said: Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa? Click to expand... Usijaribu Stop.!