Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,850 Reaction score 16,333 Aug 14, 2021 #21 Oswald Daudi Mwakibete said: Miaka5 Click to expand... Leseni mpya itaanza kusoma kuanzia mwaka ulioishia leseni ya zamani, so leseni mpya itapungua miaka miwili (2019-2024)
Oswald Daudi Mwakibete said: Miaka5 Click to expand... Leseni mpya itaanza kusoma kuanzia mwaka ulioishia leseni ya zamani, so leseni mpya itapungua miaka miwili (2019-2024)
T thegreatchief Member Joined Oct 19, 2012 Posts 62 Reaction score 68 Aug 14, 2021 Thread starter #22 kifinga said: tafuta vishoka mkuu dakika sifuri unapata leseni yako huwa wana landa landa maeneo ya ofisi za TRA Click to expand... Vishoka ni njia salama kweli? Vipi wakinidhulumu?
kifinga said: tafuta vishoka mkuu dakika sifuri unapata leseni yako huwa wana landa landa maeneo ya ofisi za TRA Click to expand... Vishoka ni njia salama kweli? Vipi wakinidhulumu?
T thegreatchief Member Joined Oct 19, 2012 Posts 62 Reaction score 68 Aug 14, 2021 Thread starter #23 Tate Mkuu said: Majibu yote utayapata TRA! Click to expand... Sawa mkuu. Japo nilitaka nijue taratibu za awali ili nikienda nisipoteze muda
Tate Mkuu said: Majibu yote utayapata TRA! Click to expand... Sawa mkuu. Japo nilitaka nijue taratibu za awali ili nikienda nisipoteze muda
T thegreatchief Member Joined Oct 19, 2012 Posts 62 Reaction score 68 Aug 14, 2021 Thread starter #24 nosspass said: kama unaikumbuka namba, mtoe trafic mkono mmoja au miwili......unaipata vema tuu...kama hukumbuki pia njia ni hiyo hiyo... Click to expand... Namba ya nini mkuu?
nosspass said: kama unaikumbuka namba, mtoe trafic mkono mmoja au miwili......unaipata vema tuu...kama hukumbuki pia njia ni hiyo hiyo... Click to expand... Namba ya nini mkuu?
T thegreatchief Member Joined Oct 19, 2012 Posts 62 Reaction score 68 Aug 14, 2021 Thread starter #25 Ndalilo said: Kihalali kabisa kwa mujibu wa kitengo cha traffic pale pembeni ya waterfront, ikipita miaka 2 tangu imalize muda wake, unaanza upya kuomba. Click to expand... Duh!!! Mbona issue sasa
Ndalilo said: Kihalali kabisa kwa mujibu wa kitengo cha traffic pale pembeni ya waterfront, ikipita miaka 2 tangu imalize muda wake, unaanza upya kuomba. Click to expand... Duh!!! Mbona issue sasa
T thegreatchief Member Joined Oct 19, 2012 Posts 62 Reaction score 68 Aug 14, 2021 Thread starter #26 mdudu said: Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k Click to expand... Itabidi niende nipewe hiyo form
mdudu said: Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k Click to expand... Itabidi niende nipewe hiyo form
T thegreatchief Member Joined Oct 19, 2012 Posts 62 Reaction score 68 Aug 14, 2021 Thread starter #27 From Sir With Love said: Ni lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo. Ndicho nilichoelewa nilipoenda kurenew mwezi wa Feb 2021. Click to expand... Traffic tena??? Hapa panahitaji cheti cha mafunzo ya udereva
From Sir With Love said: Ni lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo. Ndicho nilichoelewa nilipoenda kurenew mwezi wa Feb 2021. Click to expand... Traffic tena??? Hapa panahitaji cheti cha mafunzo ya udereva
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,981 Reaction score 119,495 Aug 14, 2021 #28 thegreatchief said: Sawa mkuu. Japo nilitaka nijue taratibu za awali ili nikienda nisipoteze muda Click to expand... Nenda na taarifa zako muhimu ikiwemo hiyo leseni iliyo kwisha muda wake. Ukifika tu mapokezi, shida yako itakuwa imeshapatiwa tayari ufumbuzi. Maana utaelekezwa dirisha la kwenda.
thegreatchief said: Sawa mkuu. Japo nilitaka nijue taratibu za awali ili nikienda nisipoteze muda Click to expand... Nenda na taarifa zako muhimu ikiwemo hiyo leseni iliyo kwisha muda wake. Ukifika tu mapokezi, shida yako itakuwa imeshapatiwa tayari ufumbuzi. Maana utaelekezwa dirisha la kwenda.
nosspass JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 5,815 Reaction score 4,792 Aug 16, 2021 #29 thegreatchief said: Namba ya nini mkuu? Click to expand... ya leseni