thegreatchief
Member
- Oct 19, 2012
- 62
- 68
Habari za wakati huu wana jamii forum?
Leo nimekuja na swali ambalo nina uhakika nitapata usaidizi kutoka kwa wahusika au wazoefu wa hiki ninachotaka kuuliza.
Ni zaidi kama miaka miwili leseni yangu ya udereva ilipotea na muda wake ulikua unaisha mwaka huo. Bahati mbaya sikupata nafasi ya kwenda ku-renew maana nilikua nina kibadua ambacho hakihitaji leseni kea wakati huo ilipokua inaisha muda wake.
Hivi sasa nina uhitaji wa leseni hivyo nilikua nataka kujua kama nitaweza ku-renew qu nianze process za kuomba upya. Na kama itatakiwa ku-renew, je watahitaji cheti cha udereva au itakuaje?? Na gharama zake zipote kwa sasa
TIN namba ninayo.
Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kupata mwanga wa nini cha kufanya
Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70kHabari za wakati huu wana jamii forum?
Leo nimekuja na swali ambalo nina uhakika nitapata usaidizi kutoka kwa wahusika au wazoefu wa hiki ninachotaka kuuliza.
Ni zaidi kama miaka miwili leseni yangu ya udereva ilipotea na muda wake ulikua unaisha mwaka huo. Bahati mbaya sikupata nafasi ya kwenda ku-renew maana nilikua nina kibadua ambacho hakihitaji leseni kea wakati huo ilipokua inaisha muda wake.
Hivi sasa nina uhitaji wa leseni hivyo nilikua nataka kujua kama nitaweza ku-renew qu nianze process za kuomba upya. Na kama itatakiwa ku-renew, je watahitaji cheti cha udereva au itakuaje?? Na gharama zake zipote kwa sasa
TIN namba ninayo.
Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kupata mwanga wa nini cha kufanya
Mkuu sio kweriKihalali kabisa kwa mujibu wa kitengo cha traffic pale pembeni ya waterfront, ikipita miaka 2 tangu imalize muda wake, unaanza upya kuomba.
sasa hivi ukihuisha inadumu kwa muda gani kabla ya ku renew mkuuHakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k
Ni lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo.Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k
Mitano tena!sasa hivi ukihuisha inadumu kwa muda gani kabla ya ku renew mkuu
Yote hayo yanafanyika hapo TRA, Hao traffic wanakuwepo hapo hapo. Kwa lugha nyingine ni one stop centerNi lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo.
Ndicho nilichoelewa nilipoenda kurenew mwezi wa Feb 2021.
Hapo ndio kwenye shida, ukishasema "sio kweli" inatosha kabisa kuwa ndio ukweli wenyewe? Nimetoa maelezo na rejea yake, kama nimedanganywa, ukweli ni upi?Mkuu sio kweri
Basi inategemea na mkoa. Kwa mfano mkoa niliorenew leseni, TRA wamo kwenye jengo lao na Traffic inabidi uwafuate kwenye jengo lao.Yote hayo yanafanyika hapo TRA, Hao traffic wanakuwepo hapo hapo. Kwa lugha nyingine ni one stop center
Huu sio utaratibu.kama unaikumbuka namba, mtoe trafic mkono mmoja au miwili......unaipata vema tuu...kama hukumbuki pia njia ni hiyo hiyo...
atapita traffic ikiwa anaupdate na kuongeza daraja ila kama kuupdate tu, anajaza fomu then analipia 70k after 24hours anapata leseni yake.Ni lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo.
Ndicho nilichoelewa nilipoenda kurenew mwezi wa Feb 2021.
Miaka mitano kwa 70k zamani ilikuwa 40k kwa miaka 3sasa hivi ukihuisha inadumu kwa muda gani kabla ya ku renew mkuu
Usimpotoshetafuta vishoka mkuu dakika sifuri unapata leseni yako huwa wana landa landa maeneo ya ofisi za TRA
Miaka5sasa hivi ukihuisha inadumu kwa muda gani kabla ya ku renew mkuu