Ku-Overhaul Suzuki Carry

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
2,021
1,266
Habari JF,

Naomba kujua ni kweli kwamba haiwezekani kufanya Engine overhauling ya Suzuki Carry? Kama tunaweza kufanya Engine Overhauling ya Magari mengine kwanini iwe vigumu kufanya Engine Overhauling ya Suzuki Carry? Je kuna mtaalam yeyote aliyewahi kufanya Engine Overhauling ya Suzuki Carry na gari likarudi kabisa katika hali ya awali ya uendeshaji? Kama hiyo Overhauling ilifaninikiwa, Je hilo gari liliendelea kufanyakazi kama kawaida (bila matatizo) kwa muda gani?

Nawakilisha.

Ahsante
 
Back
Top Bottom