KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Jamani wakuu poleni na majukumu,nina gari yangu Verrosa yenye engine ya 1G VVTI kwa sasa imefika kama Km 200,000 imeanza kutoa moshi na inaonesha dalili za kula oil japo sio sana.
Naombeni kwanza kujua namna ya kurekebisha hilo tatizo
Pili inawezekana kufanya overhaul kwa engine hii?
Tatu nini madhara na faida za kufanya overhaul?
Nne je, unaweza kuacha kufanya overhaul na badala yake ukanunua half engine(mswaki)ukamaliza tatizo hilo?
Tano ipi tiafauti ya gharama kufanya overhaul na kubadilisha half engine?
Please nisaidieni.