Kudownload miziki au chochote kupitia safari au any browser..
Kutuma files kupitia email..
Ku download video za youtube..
Bluetooth sharing..
Niki download miziki through i downloader iende kwenye music moja kwa moja,na pia idownloader hai pakui miziki from mkito..
Kutumia simu yangu kama kifaa cha kuhamishia files..
Kuingiza files kutoka kwenye pc bila kutumia itunes(huu ni upuuzi ambao sijaona 7bu ya aple kuuweka)...
Kubadili fonts..
Kufunga app flani kwa password..
Haikubali ku download vitu zaid ya mb100 kwa mobile data..(kituko hiki,au na hii wanaifanya kwasababu za kibiashara na kama ndio,biashara gani hiyo.?)
Delivery report,video call bila wifi..

pole mkuu...watumiaji wengi wa iPhone ni wanatumia kama sifa tu hasa madem..vinginevyo wewe usiwe mtu wa mambo mengi..lakin ukitaka mbwembwe zetu zile basi android ndo mahala pake..tena ukishatia Custom rom zako kari za akna Cyanogen na apps za wabishi kama chainfire ,Osama ghareb na osm droid basi android ni nyumbani kwa yote haya.Pia kwenye smartphone kuna user tofaut tofaut hvyo ukibishana na mtumiaji ambae hata rooting au jailbreak haijui utakua unapoteza mda.
mshamba mkubwa ww ndyo wa kwanza kukuona,unatokea busele sele nn?,ndyo maana zimeitwa IPhone hzo mshamba kweli ww,mbona kuna Apps kibao uki zi install unapakua music unayoitaka bt inakuwa under apps,sasa ww unataka ukiingia mkito.com Ku download vi nyimbo vyako vya bule viingie tu kwenye files kama unavyotaka,nunua PC install ITunes ndyo kila kitu,unatia aibu tu hapa,endelea kutumia hcho ki Samsung chako
Kama unakosa hayo yote haina haja ya kuitukana operating system.
Na matumizi yanatofautiana baina ya watu.
Binafsi natumia iphone ila sijaona umuhimu wa hayo yote uliyoyataja. Na wao kufungia hizo services ni kwasababu ya security kuanzia virus/malware hadi kwenye hacking.
iOS is the most secure mobile OS in the market right now.
Wengine wanajua rooting na jailbreaking lakini hawatumii kwasababu wameona hazina maana kwao.
Kudownload miziki au chochote kupitia safari au any browser..
Kutuma files kupitia email..
Ku download video za youtube..
Bluetooth sharing..
Niki download miziki through i downloader iende kwenye music moja kwa moja,na pia idownloader hai pakui miziki from mkito..
Kutumia simu yangu kama kifaa cha kuhamishia files..
Kuingiza files kutoka kwenye pc bila kutumia itunes(huu ni upuuzi ambao sijaona 7bu ya aple kuuweka)...
Kubadili fonts..
Kufunga app flani kwa password..
Haikubali ku download vitu zaid ya mb100 kwa mobile data..(kituko hiki,au na hii wanaifanya kwasababu za kibiashara na kama ndio,biashara gani hiyo.?)
Delivery report,video call bila wifi..
Mkuu sijaitukana os ila nimeonya wapenz wa android kuhamia ios ni shidaa aisee..
Ila nimegundua hakuna la ziada ambalo ningekosa kwenya android zaid ya lags free na na quality hardware ambayo ni tofauti na samsung inayochubuka baada ya miez..
Mkuu limitation gani ulizokutana nazohabarini wadau..
Wiki mbili zimepita niliomba msaada wa ushauri ninunuie simu gani kati ya GalaxyNote4 na iphone 6 plus...
Wengi mkaniambia iphone6 plus,alafu Chief-Mkwawa akanambia kama nataka simu ambayo badae nitaiuza nichukue 6plus coz haishuki thamani,hvo mwisho wa siku nikachukua 6plus..
Nimeipenda muonekano wake na smoothness yake,tatzo ni limitation za ajabu ajabu ambazo haizna maana..
Hivyo nimeomba nielezwe namna ya kui jail break bila kusababisha matatizo ili niondoe hizi limits za kishamba...
Natanguliza shukrani..
Note::Wapenzi wa Android msijaribu kununua apple devices mtajuta..
Mkuu ninachoelewa Mimi network inategemea na strength ya mnara unaotumia so simu inachange kutokana na available strengthNdo maana mimi siikubali iphone sababu ya vikwazo vyao vya kijinga. Unakuwa na simu harafu hufurahii. Hata 3G only haikai inahama hama tu