Ku-Hack KIFURUSHI CHA CHANNEL ZA MYTV AFRICA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku-Hack KIFURUSHI CHA CHANNEL ZA MYTV AFRICA

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sambuka, Feb 1, 2012.

 1. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NIMEFUNGA LNB Ku Band Juu ya C-band ya local Tv nimepata Emmanuel Tv na nyngne nyng nimeweka Freq za 12722 hor SR 26657 nimepata Package ya My Tv africa nzima (kama ilivo DSTV, GTV STARTIMES NK.) inasignal vzr, ila hazioneshi, kila chanel ina jina na mbele ina alama ya $ NAOMBA NAMNA YA KUWAHACK hawa jamaa WanaChanel nzur
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nahisi kuna kaugumu hivi.
  Ila ngoja tusubiri waje watabe wa mambo haya.
   
 3. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimepata Nollywood, Nollywood plus na Ctl hizo ni kali znaonesha filam mpya za nigeria, na mziki 24hrs nazo zina sign ya $ ila znaonesha picha vzr sana kupitia hiohio Ku -Lnb.
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuna kifaa kinatumika kuchakachua chanel au intanet inategemea na maitaji yako kinaitwa dongle nenda ka google 007ftadongle get. Au dongle avatar2 receive. Matokeo yamwage hapa @sambuka
   
 5. Bi. Kiroboto

  Bi. Kiroboto Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa kauliza, unaonaje kama unajua maufundi haya ukayaweka hapa tujifunze. Nimejaribu ku google hii kitu, lkn naona kama sijaielewa vizuri. Kwa mfano hapa sijaelewa kitu. OK, fine nitaku PM baadye unisaidie boss.
   
 6. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa kifurushi chao ni kizur tatizo ni namna yakuwachakachua kwa tunaotumia madishi ya futi 6
   
 7. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh, maelezo yapatkanayo kwnye hizo kurasa ulozi`link hapo ngum kuielewa mkuu kama unauzoef nayo naomba utumwagie steps tuende wapi na wapi ili zifunguke tuanzekucheki TRACE, ALJAZERA, FOX nk...
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kazi ya ualimu ilinishinda wakuu nisameheni buree. Ili uweze kuchakachua izo ch za mytv lazima uwe na iyo dongle pamoja na receive unafunga dish dogo la ku lenye ukubwa cm 90 sateliti w3a pale ilipokua gtv zamani fregwens zake ni 12728vsr30000 waya unapeleka kwenye iyo dongo alafu kuna waya wa data (rs)unakwenda ktk risiva yako sehemu iriyoandikwa rs 232 nyuma ya risiva kisha ile waya iliyotoka ktk dish lako kama mytv unafunga pale kwe lnb in. Hapo utakua unafuraia picha. Kuna risiva maalumu zinasapoti na dongle sio zote .zinapatikana dar na kwetu unguja .sio lazima uhuziwe maana fbi mpo wengi .kuna dongle za kuhack aina nyingi dongle azina zamana unaweza kununua ukatumia wiki 2 picha zikapotea. Sateliti ya w3a kazi yake ni kuvuta data tu .(BLACKMARKET)
   
 9. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  mkuu hzo dongle zinauzwa wapi....naomba unipe location ya maduka yao ??
   
 10. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tafuta mafundi wa dish iyo ni kama unaenda kununua bange aiuzwi dukani kienyeji mtumie fundi kariakoo zipo
   
 11. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Hahahaha poa poa.....nina fundi wangu flan hv wacha nimcheck tufanye huo mchakato !!!
   
 12. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh, mi naona kama sielewi elewi, kunnua dish dogo tena! Huku Tabora inakuaje tena!

  Nadhan mi hatua nlofkia ni zamwisho mwsho nimepoint satelite na signal naipata nimesearch kifurush chote kimekuja na chanel zake.

  ok. Fanya mchakato bas ukiweza tumwagie hapa nifate nyayo zamwshomwsho nadhan nami ztafunguka..
   
Loading...