fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,548 Reaction score 9,018 Apr 17, 2025 #1 Je kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap?
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,740 Reaction score 14,922 Apr 17, 2025 #2 HAKUNA labda uedit nje ya whatsapp uirudishie huko.
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,548 Reaction score 9,018 Apr 17, 2025 Thread starter #3 Gentlemen_ said: HAKUNA labda uedit nje ya whatsapp uirudishie huko. Click to expand... ok
Black Tanzanite JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 585 Reaction score 773 Apr 17, 2025 #4 fimboyaukwaju said: Je kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap? Click to expand... mzee wa kuchomekea shti kwene chupi...😅 tumia WPS.! iliyolipiwa ni bora zaidi,maana utaedit mpaka kuedit tena hizo ma documents
fimboyaukwaju said: Je kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap? Click to expand... mzee wa kuchomekea shti kwene chupi...😅 tumia WPS.! iliyolipiwa ni bora zaidi,maana utaedit mpaka kuedit tena hizo ma documents