Mkuu kinachoniuma ni kitu kidogo sana.Be proud. You inspire the guy.
Swala la hati miliki hata wasanii wetu hapa nchini sidhani kama wamefanikiwa hadi sasa, sijui kama kwasisi tunaopost kwenye JF sidhani kama itawezakana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] omba hati miliki haraka sana Mkuu kabla hajakuwahi.
Swala la hati miliki hata wasanii wetu hapa nchini sidhani kama wamefanikiwa hadi sasa, sijui kama kwasisi tunaopost kwenye JF sidhani kama itawezakana.
Ila sio vizuri, kuna kitu huwa namanisha kupitia mpangilio wa hivyo vi emoji, sasa kwa tu anaenicopy hawezi kujua maana yake.Kwa hiyo ni kuvumilia tu wakati jamaa akicopy uvumbuzi wako na kukimbia nao Twitter kwenda kuonyesha umahiri wake [emoji23]
My ex una gubu sana ndio maana nilikuacha
Tatizo sio gubu!! Chukulia mfano unachokifanya atokezee mtu afanye kama wewe, hiyo sio shida ila shida ni pale atakapowasilisha alichokifanya kwa mtindo kama wako bila kuelewa maana ya mtindo uliotumia.[emoji848][emoji848]My ex una gubu sana ndio maana nilikuacha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi naona kama ndio linazidiGubu tu ususie penzi? [emoji23][emoji23]nasikia tangu umuache gubu limepungua sana rudisha penzi kwake [emoji12][emoji12]
Haya poleTatizo sio gubu!! Chukulia mfano unachokifanya atokezee mtu afanye kama wewe, hiyo sio shida ni pale atakapowasilisha alichokinya kwa mtindo kama wako bila kuelewa maana ya mtindo uliotumia.[emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi naona kama ndio linazidi
Angalia hii " [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]"ujue sielewi ni โstyleโ gani mnakopiana [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] seriously ujue mimi hata sioni tatizo liko wapi[emoji23][emoji23][emoji23] sasa limehamia kwenye copy and paste ya uvumbuzi wake kwenye penzi nasikia kapoa kama maji ya mtungini.[emoji12][emoji12]
Mimi naomba uniambie maana ya hizo emoj ili nikueleweAngalia hii " [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]"
Maandishi kila mtu anaweza kuchukua ya mwingine, tatizo ni mpangilio wa hizo emoji, then angalia kwenye post na fuatilia hata post zangu za nyuma uone ninavyopangilia hizo emoji.