Yaani mtu mara akublock social media zote, halafu akitaka kukufatilia muda atakao kwenye akaunti yako ataku unblock, akiridhika ana block tena.
Bahati mbaya status WhtasApp nazipata, ila contact list hayupo. Leo asubuhi kasahau kuni block baada ya kunichungulia akaunti yangu atakavyo, ndiyo nikagundua huo mchezo.
Ifahamike tu kwamba;
1/ Jinsia tofauti.
2/ Hatujagombana.
3/ Hatuna mahusiano.
4/ Akinijulia hali lazima aandike dear.
5/ Ni majirani n.k.
Jibu la huyu mtu ni lipi, au na mimi nimlime block siku atakayosahau kuniblock baada ya ku ni unblock?