Ku 'block' na 'unblock' ina maanisha nini?

Ku 'block' na 'unblock' ina maanisha nini?

Yaani mtu mara akublock social media zote, halafu akitaka kukufatilia muda atakao kwenye akaunti yako ataku unblock, akiridhika ana block tena.

Bahati mbaya status WhtasApp nazipata, ila contact list hayupo. Leo asubuhi kasahau kuni block baada ya kunichungulia akaunti yangu atakavyo, ndiyo nikagundua huo mchezo.

Ifahamike tu kwamba;
1/ Jinsia tofauti.
2/ Hatujagombana.
3/ Hatuna mahusiano.
4/ Akinijulia hali lazima aandike dear.
5/ Ni majirani n.k.

Jibu la huyu mtu ni lipi, au na mimi nimlime block siku atakayosahau kuniblock baada ya ku ni unblock?
Na mimi nakublock kisha naku unblock.
 
mkuu wengine vibaruavyetu ni security magetini kwenu sasa ili usingizi usikupitie ukasahau kazi unakesha mtandaoni. wakati naingia wasap kucheki prfl na status za watu nakuta kuna contact imeongezeka kuangalia iliyoongezeka ni yake lkn kesho yake tena mida ya lindo km kawaida yetu na vibarua hivi nikaendelea kuzoom nakuta contact list zimepungua .

so ieleweke tu simfatilii .
NA HILI NALO MKALITAZAME
 
Naona pia na wewe unaempenda dear. Huwezi tu mfatilia mtu namna hiyo kujua amekublock, Amekuchungulia Kama hauna feelings nae. Swallow your pride and tell him/her your feelings [emoji847][emoji847]. Hutakufa. That foolish pride won't take you anywhere [emoji12]
Swala lako na mchepuko wako limeishia wapi??

Hujabambwa bado??
 
Back
Top Bottom