OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,965
- 25,330
Ahaa haina haja ya kupeleka kwa mwenyekiti tena na serikali ya mtaa??Viambatanisho vinategemea Umetoa sababu gan
Maswala ya picha achananayo wee nsaidie mkuuKwa hyo picha uloiwekaa una haki ya kutopata mkopo na usipatee tuuu wallah...
Taifa lipi iloo??kwa hio picha ata mkopo haupewi sababu ww ni laana kwa taifa
hahahahaha kwani kipindi wanatoa mikopo walijua jamaa avatar yake iko ivo mkuu??Kwa hyo picha uloiwekaa una haki ya kutopata mkopo na usipatee tuuu wallah...
TanzaniaTaifa lipi iloo??
Mavitu ya kawaida ayaa mkuu ...ni uumbaji na upendeleowa Mwenyezi Mungu. HahahaLoan board wanakazi sana, daah upo vizuri mkuu naona mkopo ni ziada tu maana umewekeza hata katikati napo k tu
Hahaha haupo siriaz aisee ....Achana nao njoo nikukopeshe mimi kwa miaka 3 kurejesha mikopo tutaelewana tu usijali mdogo wangu.
[emoji17] [emoji17] [emoji19] [emoji19]Hahaha haupo siriaz aisee ....
Saa dada angu umpeleke wap tena??[emoji17] [emoji17] [emoji19] [emoji19]
Kama unae Dada nipe nikupe mkopo bila kudaiwa.......????
[emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86]
Pale kati patamu......Saa dada angu umpeleke wap tena??
NIMECHEKA SANA KUMBE JF MNACHUNGUZA HATA PICHA? HUYU AKIPEWA MKOPO ATAZIMALIZIA KWA HUYO MDOGO WAKE ANAYEMWENDESHAMaswala ya picha achananayo wee nsaidie mkuu