Hello wadau, kwa kutumia kies kwenye pc naona simu ina new firmware update. Sasa nauliza km naweza kutumia hiyo simu kama wifi hotspot ya pc at the same time niwe na_update simu. Je inawezekana?
kwa usalama zaidi tumia 3g modem ila sioni tatizo ukitumia hotspot ya simu sababu file litadownloadiwa kwanza likishakaa kwenye computer ndio process ya kuflash itaanza.