NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 697
- 1,113
HAPANA MKUUna godoro au?
Laki 30 kubwa sana mkuu.HAPANA MKUU
KUNA NINI???Hamna kitanda hapo
SAWA MKUULaki 30 kubwa sana mkuu.
We umeona nini mkuu?KUNA NINI???
Kuna bwetaKUNA NINI???
Duh, hata kama kingekuwa hakijatumika kabisa, ndiyo LAKI 30! Hakuna atakayenunua kitanda hicho kwa laki 30 hata ukimuongeza na godoro . Imekuwa kiwanja?KITANDA KINAUZWA
BEI LAKI 30
KIMETUMIKA MIEZ 6 TU
ACHA KUJITOA UFAHAMU BWANA MDOGOLaki 30? Kwa maana ya Milioni 3?
BWANA MDOGO PUNGUZA MUSHKELIIIUnauza kitanda ili ulale chini?
Acha kuuza kitanda,kiweke kama kumbukumbu,