Kruta ya kike ni mali ya afande Chacha

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Kwa wale walioipita depo iwe POILISI, JKT au JWTZ mtakubaliana na mimi mkiwa depo huwazi hata siku moja mapenzi wala kupenda. Kuna sababu nyingi zinazosababisha hizi


1. Kwanza huoni msichana wa kutongoza au kutokanae kimapenzi, wote mko sawa kimuonekano, no maker up, no wanja mkiwa depo na kwa ujumla hakuna saloon, no everything depo wote mnanyoa kwa wembe. Wasichana sura ngummu kuliko wanaume

2.Unawaza viunga/ maeneo ya usafi pia unawaza hasa kwa POLISI mchachaka wa saa 8 usiku, unawaza kunyosha, kubru (kubrush viatu)
3.
Hakuna muda huo, mnabanwa sana na ni kesi ya kukufukuza mafunzo kama utakuta unagida kruta mwenzako, kruta ya kike ni mali ya afande
4. Shuruba/mahovyohovyo kibaoo usiku na mchana.

Mnakumbuka song hizi wadepo


Nikimaliza depo nitamuuona dea/mama

John john mzanaki john wa mara john!!!! John john mzanakiiii john wa mara.
Mama jane.
Mbonge! Mbonge analia bonge
Diena diena
If I die don't bury me here take my body to my mom! Ndelemooo waliokufa, walikokufa
Selina Selina uongo wako Selina! Umemdanganya afande uongo wako Selina akalala mlango wazi uongo wako Selina *2 uongo wako selinaaaa.

Jamani depo hakuna baby ila hakuna maisha mazuri kama depo


Mwenye mavituzi atupie Zaidi

 
Hakuna uhalisia hapo inamaana demu akikataa atalazimishwa :what:..........ila hizo nyimbo tuu kama nisikie tyune yake vileee 🙂
 
Bibi kwenye kuni kaokota kia la nyani, siku zinaondoka hizoo, mwezi unaondoka huooo, la mtoto halina maji, dog ng'ata hau hau hau,
 
Ni kuruta mzito tu atakaekaa bila kuegemea kuruta mwenzie

Mpango kazi wa kuni minazi mbona tumeisimamisha sana,tena tukawa wepesi na depo likaenda

Jeshini wepesi
 

Jambo Afande...
 
Ctasahau ile hali niliokuwa nayo wakati nakaribia getini cku ya kuripoti
 
Jkt ukiwa mgumu utaishi tu lakini ukitaka mteremko utaliwa hata askari private wewe ukipewa kazi ngumu fanya kwa bidii du umenikumbusha msangi JkT dance la kuimba la usiku
 
Huyo Afande Chacha ni yule wa 822 kj makutupora?
Wapi afande mbowe. wapi Rsm Mwihechi?
Wapi afande Mwiba?
Jkt raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…