Matangazo mengi ya biashara ya Wabongo hayana tofauti na mitihani ya Taifa, yani unaumiza kichwa kuelewa utafikiri unajibu swali la Organic. Mtu anaweka namba hataji eneo analoishi, hataji bei,
Kama hutaki kutaja bei na idadi ya kreti ulizonazo kisa eti umeweka namba ya simu basi hili tangazo usingeweka hapa ungeweka kwenye hiyo namba yako ya simu.