barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Wakuu nipo hapa naisubiria kwa hamu mechi kati ya Celta Vigo vs Genk ya kina Samatta
Mechi ya leo Genk wakiweza kusonga mbele,basi Mbwana Samatta aatakuwa kajiwekea historia kubwa sana huko mbele ya safari.
Na uzuri katika kikosi cha kwanza cha leo,Mbwana Samatta anaanza kama kawaida....
Tuendelee kujuzana toka hapo Luminus Arena-Genk