PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)
Mitragyna speciosa (Kratom) ni nini?
Mitragyna speciosa iko katika kundi la dawa mpya za kulevya zinazotokana na mimea inayofahamika kwa jina la "Kratom". Mmea huu unakemikali aina ya Mitragynine na 7 Hydroxymitragynine (7-HMG).