Kozi za udereva chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT)

Sasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
 
Sasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
Kigezo kikuu ni leseni yenye uhai kama imeexpire unaenda TRA unatafuta learner tatizo la pale ni Interview yao unapewa mbasi mkubwa wakati umezoea kuendesha IST kama ujazoea na ujawai kuendesha magari makibwa na una uzoefu na magari hayo usiende utakuwa umewapa bule 30,000 ya interview mim nilifel interview yao ila now ni mwezi wa pili nipo na roli kubwa la mchanga natafuta experience nikijiisi nmeiva narudi tena
 
Jamani naomba kujua hiyo Senior driving course ndyo sh ngap ,na inakuwa na madaraja mangap i?katika hyo course lakin pia inachukua mda .mana m nilikuwa natafta driving ya week 2 ,au hata 3
 
nenda NIT kasome ili upate cheti. kujiunga hawahitaji chet chochote zaid ya lesen yako.
 
naomba kujua ivi ukitaka kujiunga na vip (advance driver) na umeshapita veta inatakiwa uwe na vigezo gani vingine
unatakiwa kuwa na leseni ya udereva
kama lesen yako n daaraja D inabid uwe umekaa nayo miaka miwili
kama ni daraja E unatakiwa uwe umekaa nayo mwaka mmoja
ada ni 400 000. mda n week 2. venue NIT Dar.
 
Jamani naomba kujua hiyo Senior driving course ndyo sh ngap ,na inakuwa na madaraja mangap i?katika hyo course lakin pia inachukua mda .mana m nilikuwa natafta driving ya week 2 ,au hata 3
Kaka hiyo senior n hatar inatka uwe na vigezo: uwe na chet cha grade two &one we unavyo...?
 
Sasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?

Uwe dereva ambae sio mbabaishaji,maana pale unaenda jifunza sheria za barabarani za kima taifa.
 
Haraka haraka haina baraka
 
Habari
Naitwa fadhili natafuta kazi ya udereva mpiga kazi wala sio mzembe
Msomi yupo smart mda wote tuwasiliane
0654960981
Tembelea Jukwaa La Ajira Mara Kwa Mara Unaweza Kupata Mishe. All the Best.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…