Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
Yes safiii idea nzuriiiii hyoo piaaaa.....unapiga daraja moja nit. unakwenda veta unapiga lingine unakusanya vyeti kwisha habari
Ni nzurii pia wenye ushuhuda waliojaribu kufanya hili waje kutuambiaa....unapiga daraja moja nit. unakwenda veta unapiga lingine unakusanya vyeti kwisha habari
Hellow wadau nimekua mfuatiliaji wa hichi chuo muda mrefu sana....
Elimu inayotolewa chuo cha taifa cha usafirishaji kozi fupi kwa madereva.
1. Advanced drivers grade 2 (VIP)
2. Advanced drivers grade 1 (VIP)
3. Senior drivers course.
Ningependa kufahamu ni kwanini hawaruhusu dereva kusoma kozi zote. Kwa kufuata ratiba ya kozi iliyopangwa na chuo.
Bali inamtaka dereva kusubiri mwaka mmoja. Na kisha kurudi chuoni kundelea na kozi nyingine.
Hivyo kumaliza kozi tatu ambazo jumla zina muda wa wiki 12. Inakuchukua miaka 5. Kumaliza kozi tatu tuu.
(Kwa madai ya kwamba unaifanyia kazi mwaka mmoja) Kazi mtaani hakuna hivyo unasubiri mwaka upite. Urudi kuendelea.
Ingekua pia afadhali kwa madereva kusoma kozi zote kwa mwaka mmoja. Ingepeleka pia ajira kwa baadhi ya madereva ambao vigezo hvyo ni tatizo. Na wangepata uzoefu mzuri pia. Kwasababu wamepitia shule.
Kama ni swala la uzoefu ni jukumu la mwajiri kufanya chaguzi la dereva.
- Kusoma na kusubiri miaka yote hyoo inakatisha tamaa sanaa...
- Allieweka huu utaratibu alikua na madhumuni gani.
- je hizo kozi ni bora kuliko masters, kwasababu kuna watu wanamaliza digrii na kuunga masters.
- Nifahamisheni wapendwa........
Bob lee Swagger.
Kuna tatizo katika watu wanaopewa dhamana ya kutoa maamuzi kwa ajili ya wengine!!Yes safiii idea nzuriiiii hyoo piaaaa.....
Jaman naomb mnijuze ada ya icho chuo coz ya udreva

Na VETA sh ngapi?400,000/= 4 weeks.
Elfu kumiNa VETA sh ngapi?
Nyingi sana hiyoElfu kumi
Kila kozi na bei yake hiyo ni ya industrial na vip400,000/= 4 weeks.
Hellow wadau nimekua mfuatiliaji wa hichi chuo muda mrefu sana....
Elimu inayotolewa chuo cha taifa cha usafirishaji kozi fupi kwa madereva.
1. Advanced drivers grade 2 (VIP)
2. Advanced drivers grade 1 (VIP)
3. Senior drivers course.
Ningependa kufahamu ni kwanini hawaruhusu dereva kusoma kozi zote. Kwa kufuata ratiba ya kozi iliyopangwa na chuo.
Bali inamtaka dereva kusubiri mwaka mmoja. Na kisha kurudi chuoni kundelea na kozi nyingine.
Hivyo kumaliza kozi tatu ambazo jumla zina muda wa wiki 12. Inakuchukua miaka 5. Kumaliza kozi tatu tuu.
(Kwa madai ya kwamba unaifanyia kazi mwaka mmoja) Kazi mtaani hakuna hivyo unasubiri mwaka upite. Urudi kuendelea.
Ingekua pia afadhali kwa madereva kusoma kozi zote kwa mwaka mmoja. Ingepeleka pia ajira kwa baadhi ya madereva ambao vigezo hvyo ni tatizo. Na wangepata uzoefu mzuri pia. Kwasababu wamepitia shule.
Kama ni swala la uzoefu ni jukumu la mwajiri kufanya chaguzi la dereva.
- Kusoma na kusubiri miaka yote hyoo inakatisha tamaa sanaa...
- Allieweka huu utaratibu alikua na madhumuni gani.
- je hizo kozi ni bora kuliko masters, kwasababu kuna watu wanamaliza digrii na kuunga masters.
- Nifahamisheni wapendwa........
Bob lee Swagger.
225000 TshNa VETA sh ngapi?