Kozi za udereva chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT)

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,070
Reaction score
1,816
Hellow wadau nimekua mfuatiliaji wa hichi chuo muda mrefu sana....

Elimu inayotolewa chuo cha taifa cha usafirishaji kozi fupi kwa madereva.

1. Advanced drivers grade 2 (VIP)
2. Advanced drivers grade 1 (VIP)
3. Senior drivers course.

Ningependa kufahamu ni kwanini hawaruhusu dereva kusoma kozi zote. Kwa kufuata ratiba ya kozi iliyopangwa na chuo.

Bali inamtaka dereva kusubiri mwaka mmoja. Na kisha kurudi chuoni kundelea na kozi nyingine.

Hivyo kumaliza kozi tatu ambazo jumla zina muda wa wiki 12. Inakuchukua miaka 5. Kumaliza kozi tatu tuu.

(Kwa madai ya kwamba unaifanyia kazi mwaka mmoja) Kazi mtaani hakuna hivyo unasubiri mwaka upite. Urudi kuendelea.

Ingekua pia afadhali kwa madereva kusoma kozi zote kwa mwaka mmoja. Ingepeleka pia ajira kwa baadhi ya madereva ambao vigezo hvyo ni tatizo. Na wangepata uzoefu mzuri pia. Kwasababu wamepitia shule.

Kama ni swala la uzoefu ni jukumu la mwajiri kufanya chaguzi la dereva.

  • Kusoma na kusubiri miaka yote hyoo inakatisha tamaa sanaa...
  • Allieweka huu utaratibu alikua na madhumuni gani.
  • je hizo kozi ni bora kuliko masters, kwasababu kuna watu wanamaliza digrii na kuunga masters.
-

Nifahamisheni wapendwa.

Bob lee Swagger.
 
humu jf inaonesha madereva sio wengi..

Nnogeshe kidogo, mkuu hiyo vip course asikuambia mtu ina mtonyo mrefu, ww soma uhandisi weee lakini tanesco tukikutana nakuzidi mshah, kwa tanesco dereva anagonga hadi mil1.2 hawa madereva wa vip wana mawe.......ngumu kuipata lakini simple kutumbua mihela... vumilia tu mkuuu nenda kawaulze madereva wa NSSF,PSPF,TFS,TBS,DAWASCO,WIZARANI wakuambie mitonyo yao
 
Hii nchi tunamuhitaji MUNGU SANA,kuna watu wanaotoa maamuzi ya watu milioni 40 wakiwa
Hellow wadau nimekua mfuatiliaji wa hichi chuo muda mrefu sana....

Elimu inayotolewa chuo cha taifa cha usafirishaji kozi fupi kwa madereva.

1. Advanced drivers grade 2 (VIP)
2. Advanced drivers grade 1 (VIP)
3. Senior drivers course.

Ningependa kufahamu ni kwanini hawaruhusu dereva kusoma kozi zote. Kwa kufuata ratiba ya kozi iliyopangwa na chuo.

Bali inamtaka dereva kusubiri mwaka mmoja. Na kisha kurudi chuoni kundelea na kozi nyingine.

Hivyo kumaliza kozi tatu ambazo jumla zina muda wa wiki 12. Inakuchukua miaka 5. Kumaliza kozi tatu tuu.

(Kwa madai ya kwamba unaifanyia kazi mwaka mmoja) Kazi mtaani hakuna hivyo unasubiri mwaka upite. Urudi kuendelea.

Ingekua pia afadhali kwa madereva kusoma kozi zote kwa mwaka mmoja. Ingepeleka pia ajira kwa baadhi ya madereva ambao vigezo hvyo ni tatizo. Na wangepata uzoefu mzuri pia. Kwasababu wamepitia shule.

Kama ni swala la uzoefu ni jukumu la mwajiri kufanya chaguzi la dereva.

- Kusoma na kusubiri miaka yote hyoo inakatisha tamaa sanaa...
- Allieweka huu utaratibu alikua na madhumuni gani.
- je hizo kozi ni bora kuliko masters, kwasababu kuna watu wanamaliza digrii na kuunga masters.
- Nifahamisheni wapendwa........

Bob lee Swagger.
Yes safiii idea nzuriiiii hyoo piaaaa.....
Kuna tatizo katika watu wanaopewa dhamana ya kutoa maamuzi kwa ajili ya wengine!!
Mtu anaamua jambo la watu zaidi 40M just as if anaamua jambo lake na mkewe!!!
 
Wazee me nashida San na hicho chuo ila nataka kuxomea udereva je ada ake ni sh ngap na vip kuuxu hyo VIP course?
 
Habari zahumu ndani
Naomba msaada wa mawazo

Nina leseni daraja D E C1 C2 C3 NA E nataka nikasome maaana sikusomaga nifanyaje naanza wap hapa sielewi kila sehem napokwenda wanataka Cheti

Ninavigezo vyote Chet cha form4 kizur cha form 6 chet cha jkt nimekosa chet cha udereva sasa naazaje nianze kusomea wap
Ashnte
 
naomba kujua ivi ukitaka kujiunga na vip (advance driver) na umeshapita veta inatakiwa uwe na vigezo gani vingine
 
Mkuu Mimi na swali hivi ukienda kuomba kazi za udereva kwanini vigezo vya kampuni au watu ni eti uwe na uzoefu wa miaka miwili na ukuendelea ivi ii ni Sheria au maana kwa akili ya kawaida unawashawishi madereva kufanya kazi bali ni kwa kujua anatafta uzoefu na baada ya hapo anaenda sehemu nyingine

Back
Top Bottom