Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Huu ni mwongozo ambao nimeandaa hasa kulingana na hali mbovu ya ajira katika nchi yetu!! na hizi ni kozi ambazo ni rahisi kujiajiri hasa katika mazingira haya ya Tz ya viwanda na ukosefu wa ajira!!
Na nnaposema kujiajiri nna maanisha kama umesoma kozi fulani basi ujiajiri kwenye hiyo kozi na sio umesoma I.T unaenda kuendesha bodaboda!!
NB: My assumption is, uwe na passion ya biashara/kujiajiri na uwe na passion ya kozi uliyosoma yaani uwe umesoma kozi unayoipeda!!
Hizi kozi ni kama ufwatavyo...
1. Software engineering/Computer science/I.T/Computer engineering!
Kiuhalisia hizi kozi zina utofauti sana ila ukija katika nchi kama yetu mara nyingi hawa watu wanaishia kufanya vitu vinavyofanana! Hawa wana deal na technology kwa ujumla! Kazi zao ni kama programming kwa ujumla, ku develop softwares, websites and web applications!!
Ni kozi ambazo watu wanaamini kwamba hazina ajira au kuajiriwa ni ngumu ila kozi ambazo kujiajiri ni rahisi sana kama ukiwa smart kichwani!! angalia top ten ya mabilionea kwenye hii dunia utaona wengi walitokea kwenye hizi kozi!!
Ukiwa muhitimu wa kozi hizi kitu unachohitaji ni PC/lapotop yako pamoja na bandle la internet na akili yako ili uanze kupiga pesa, sio lazima uwe na ofisi ndipo uanze kufanya kazi!!
2. Architecture
Hawa wana deal na uandaaji wa ramani/michoro ya nyumba na structures mbali mbali za kihandisi!! hawa wanasoma miaka minne au mitano chuoni, again hawa nao hawahitaji ofisi kuanza kazi wanachohitaji ni laptop na relevent softwares na akili yako ili kuanza kupiga pesa!!
3. Veterninary maedicine/animal science/horticulture na nyingine za kilimo
Hawa wanachohitaji ni shamba maana ujuzi na maarifa wanao tayari!! so ukipata shamba na jembe na mbegu stahiki unaanza kupiga kazi!! au ukipata banda la kuku basi kazi inaanza right away!!
4. Pharmacy
Baada ya kumaliza masomo na kufaulu na ikiwezekana kujisajili kwenye bodi yao basi inakua njema na unachohitaji ni cheti chako kuanza kupiga pesa!!!
5.Automotive/ Mechanical engieering
Wakati naziandika hizi kozi nilisita kidogo ila hawa ni watu ambao wanaingilia na kwa lugha ingine naweza sema automotive engieering ni subset ya mechanical engineering! Achilia mbali kwamba wana dili sana na kudesign mitambo na machines mbalimbali hawa jamaa (hasa mechanical engineers) ni multipurpose wapo kuanzia kwenye ujenzi, uchomeaji/welding mpaka kwenye ufundi wa motor, jenereta, pumps, solar, Bodaboda, haice na gari nyingine ambazo kila siku zinaharibika, so ukiwa makini unaanza kupiga kazi hata ukiwa eneo la ajali!!!
Nitarudi kujazia nyingine...
USHAURI:
Kijana acha kusoma kwa kutegemea ajira, mambo yamebadilika! Juzi waziri mpya wa elimu katangaza uhakiki wa umri... vituko vinaendelea...