Kozi za Afya 2016/2017, soma hapa

Jamani matokeo ya awamu ya pili ya vyuo 2016 yanatoka link .. Kwa anaye jua naombeni msaad wakuu
 
leo walisema lakini hawaelewekiii
 
Asante sana kwa maelezo yako Mkuu, mimi nna ndugu yangu.Ufaulu wake ni F-D-C kwa maaana ya Physics F Chemistry D na Biology D. kwa vyuo vya serikali anaweza pata nafasi kweli? maana huku private hali ngumu. Msaada tafadhali
 
Jamani nisaidieni Nina chemistry C biology B English C physics C WAnaweza nichagua clinical medicine ?
 
Jamani nisaidieni Nina chemistry C biology B English C physics C WAnaweza nichagua clinical medicine ?
Wanakuchagua mkuu.. tena bila shida vyuo vya serikali, ingia NACTE uombe acha kupoteza mda
 
 
Hellow
Brother
Mm Nina
Samahan wakubwa Naomben ushauri Nina
Chemistry _C
Biology_C
Physics_F
Mathe_D
English_C
Kiswhl_C
History_D
Civics_D
Geography_D
Nime maliza course ya community health tayar,,
Nnatak nlisiti ili niweze kusoma
Clinical officer
Sasa hapa nlisiti masomo mangap!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…