Kozi ya uthibiti ubora shuleni

well grt ,,, but still on my side i don't thing if ADEM course Zina qualification za kujiunga DEGREE! Wengi wao huenda ili kupata nafasi yaku either kuchaguliwa kuwa mkuu wa shule(which is goo), wakaguzi nk ..(it DEPEND na ndoto ya mtu) husika . nasio kwamba aifai kabisa, kama anaetaka kuisoma lengo ni kupandishwa cheo ktk mambo ya uongoz bas anaeza akaenda..... but still inconvenience is prove ya admission kwa wale wanye ndoto za kuendelea na degree if any.....give us detailed information from tcu guiding book ili wanaotaka kwenda kusoma wawe na uakika , pia kumbuka kunakipindi coz nyingi sana zilfutwa na tcu
 
SASA MTU NDO KAMALIZA DIPLOMA ANAENDAKUSOMA DEGREE GAN , CHUO GAN!
 
Si nimekuwekea prospectus hapo mbn unakuwa mbishi

sent from toyota Allex
 

Lugha haieleweki hapa, kiingereza kichafu kabisa, yaani ni padua kichwa! Duh!
 
Sidhani kama iko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…