Juma Majani
New Member
- Aug 7, 2019
- 1
- 1
Mkuu ulishawahi kusoma AdemHuwezi soma chochote ndugu,ADEM NI HASARA TU HAPO UKISOMA UMEIBIWA PESA NA MUDA NA AKILI INAKUA IMESHACHAFULIWA KWA TAALUMA AMBAYO HAINA FUTURE.
Sio kweli KOZI YA D.S.I INATAMBULIKA KITAIFA NA KIMATAIFA NA UKISOMA UNABADILISHIWA MUUNDO WA KIUTUMISHI...NA INATOLEWA MAIN CAMPUS BAGAMOYO PEKE YAKE !!
Shusha nondo maana usingetokea kuja kuonyesha unachokifahamu kuhusu adem thanks alots but bado naendelea kuhitaji ufafanuzi zaid kuhusu kozi ya DIPLOMA IN SCHOOL MANAGEMENT.Mkuu ulishawahi kusoma Adem
sent from toyota Allex
Naomba kujua diploma ya uthibiti ubora shuleni inayotolewa na chuo cha Adem inakuwezesha kusoma degree yoyote hapa nchini maana nasikia tetesi kuwa haiwezeshi kusoma degree msaada tafadhali kwa anayelitambua hili
Sio kweli KOZI YA D.S.I INATAMBULIKA KITAIFA NA KIMATAIFA NA UKISOMA UNABADILISHIWA MUUNDO WA KIUTUMISHI...NA INATOLEWA MAIN CAMPUS BAGAMOYO PEKE YAKE !!
sent from toyota Allex
Haya ni mawazo yako kozi ya D.S.I inatolewa chuo kimoja kwa sababu ya unyeti wake ...kwa taifa ..na anayetoa kozi hiyo ni wakala wa elimu TanzaniCOZ INAYO TOLEWA NA CHUOKIMOJA NIHATARI SANA.... pia wanatoa kwa waali ili waweze kufanya ukaguz wa ubora wa elimu ''school inspectus'' is just like seiners course, or workshop like
Hii course ni ya muhimu,ni vile wanaoijadili hawailewewi.Ni inservice course kwa wanaohitaji nafasi hiyo ya school inspectorate.Haya ni mawazo yako kozi ya D.S.I inatolewa chuo kimoja kwa sababu ya unyeti wake ...kwa taifa ..na anayetoa kozi hiyo ni wakala wa elimu Tanzani
Na inahusu walimu waliofanya kazi kwenye vituo vyao kwa muda usiopungua miaka mitano
Wanapika watu mahili wa aina moja sio rangi rangi km ilivuo leo waliomaliza educatio udom, na waliomaliza sauti ...kwenye soko la ajira wanathamani tofauti
Wakala wa elimu kaliona hilo ndio maana wamependekeza ipaki katika chuo kimoja tu kwa nchi nzima
Fresh from school haiwahusu na hawaruhusiwi kuisoma
sent from toyota Allex
Huo ndio ukweli mkuu,Hii course ni ya muhimu,ni vile wanaoijadili hawailewewi.Ni inservice course kwa wanaohitaji nafasi hiyo ya school inspectorate.
Ingekuwa sponsored na mwajiri ingevutia sana kuisoma.Hata hivyo Bagamoyo ni pazuri kwenda kurefresh kwa miaka miwili na utoke na kaujuzi.
Haya ni mawazo yako kozi ya D.S.I inatolewa chuo kimoja kwa sababu ya unyeti wake ...kwa taifa ..na anayetoa kozi hiyo ni wakala wa elimu Tanzani
ADEM NAIFAHAMU SANAA ZAID YA UNAVYO IJUA WEWE , COZ ZOTE MNAZOFUNDISHWA NAZIJUA NA KWANINI WANAENDA KUSOMA PRIMARY TEACHERS ? PIA WHAT DO YOU THINK MAKE ADEM SO SPECIAL KAMA UNAVYO DAI?" SIWEZI KUI CATEGORIZE COZ WANAZO TOA ADEM KAMA ZINA KIZI KU AWARD DIPLOMA!
kama ni inspection Mbona ata police wanapiga? some time serikali iwe makini eti wazibiti ubora wakaguzi wa ubora wa elimu ni watu wenye div 4 wanakagua alafu utegemee kupata div 1 ? a miracle ! this is dangerous.. pia naipongeza sana serikali kwa mabadiliko walio fanya kwakuongeza ufaulu kwa wanao endakusomea uwalim , coz sector ya elimu ni ubongo wa nchi