Kozi ya raging management.

mzl

Senior Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
182
Reaction score
122
poeni na kazi wakuu,samahani naomba kupewa ufafanuzi juu ya hii kozi ya raging management, kuna mdogo wangu kachaguliwa kwenda kuisoma sua
 
Sijawahi isikia. Huyo mdogo wako amechaguliwa kuisoma aú yeye ndo aliiomba? Muulize atakuwa anaijua
 
Inahusu usimamizi na uhifadhi wa malisho ya mifugo.

Jitathmini ufanye maamuzi mapema
 
Range Management na sio "raging management"

Dogo langu pia kachaguliwa hapo SUA kusoma hicho kitu.
 
Mwambie SUA hatuna "kozi" inayoitwa Raging management, labda kama ni Range Management. Mwambie akaribie ajifunze u-bwana pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…