Kozi ya optometry Ajira na mshahara

Kozi ya optometry Ajira na mshahara

anto

New Member
Joined
Aug 19, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Nataka kuulza kuhusu kozi ya optometry Ajira zake hazisumbui na Vp kuhuxu mxhahra wake
 
ukisoma kwa kutegemea ajira utakuja kuwa kichaa ukimaliza
 
Inategemea. Kuna mmoja niliona anakula milioni mbili wakati mwingine niliona analipwa milioni moja. Na wote ni age mates...
 
Level ipi Diploma au Bachelor au Masters au PhD!?
 
Back
Top Bottom