Kozi ya Medical engineering.

Kozi ya Medical engineering.

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
864
Reaction score
880
Naomba kufahamu zaidi kuhusu kozi hii.
Chuo kinachotoa shahada.
Urefu/muda wa kusoma kozi hiyo.
Fursa na changamoto zake na mengine kama yapo.
Asante sana.
 
Biomedical Engineering ni field inayohusu kuunganisha Engineering skills kutatua mambo ya kiafya.

Ni field pana kidogo ina deal na vitu vingi, but bongo naona wana base ktk ishu equipments ,but humo ktk biomedical kuna tissue engineering , biomechanics etc.

Kozi hii hutolewa ktk vyuo vifuatavyo.

1.MUHAS, wanatoa kwa level ya bachelor,kozi miaka minne. Ila huchukua watu wachache .. Wamebase kuisoma kwa upana sanaa, so tegemea kusoma masomo ya Medical,kama Anatomy, physiology, Biochemistry,pamojq na masom ya engineerin.

2.Arusha tech, wao wanafanya equipments. Hufanya kwa miaka mitatu, wana base sana kusoma ,umeme, electronics na vifaaa.

3.Dit, niliona hapa na MUST wanatoa ktk level ya diploma ,hawa wame base ktk vifaa.
 
Back
Top Bottom