Yes ufundi simu ukiendana na computer ukaijua vizuri unakuwa umemaliza shughuli.Nafkir cellular phone maintanance ikienda sambamba na computer maintanance itakua poa zaidi
Hii cellular phone maintanance nimeilewa sana mana watu wanaharibikiwa sana simu, so nikiweka tangazo tu hata nje ya geto nafkir wateja watakua wanakuja kama wote..thnx sana