Habari za asubuhi wadau,
Natumai nyinyi ni wazima nna mdogo wangu hapa yupo interested sana kuwa chef ila changamoto kubwa ni wapi pa kuanzia; matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwaio tunatafuta alternative kama kuna mtaalamu wa hili msaada tafadhali!