kwa wale wote walio soma na wanao soma koz hii naomba tufamishane kuhusu hi kozi kwa swala zima la ajira,mkopo na usomaji wake.mimi nimechaguliwa hiyo koz sua
Ngoja Tumalize Kwanza Uchaguzi USITUCHANGANYE.
Ngoja Tumalize Kwanza Uchaguzi USITUCHANGANYE.
Sio wote wanasiasa humu...wengine ni wanataaluma mbalimbali kwa hyo usimzuie kijana kupata mawazo ya watu wenye nia njema....