Kozi ya Community heath inahusika na nini?

no huury

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
16
Reaction score
4
Habari za muda ndugu zangu! Kunakitu sijakifahamu bado, katika maswala yakazi ukimtaja daktari ama nesi ni watu wanao fahamika kwakazi zao ila mmi sijajua kuwa watu wale wanaosoma community health in watu watu wenye kuandaliwa kujakufanya kazi gani? Naomba kufahamisha kwasababu sifaham, kwawanaofaham nawaomba mnijuze.
 
Waliohitim Saiv Ndo Batch One Kwaiyo Tusubiri Tuone Watakwenda Wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…