tss Member Joined Aug 31, 2023 Posts 73 Reaction score 41 Nov 16, 2023 #1 Habari wakuu,kwa anayeijua hii kozi Kwa Tanzania ni chuo gani wanaitoa hii kozi na je ili uwe cardiologist unatakiwa uwe na vigezo vipi,asanteni
Habari wakuu,kwa anayeijua hii kozi Kwa Tanzania ni chuo gani wanaitoa hii kozi na je ili uwe cardiologist unatakiwa uwe na vigezo vipi,asanteni
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,958 Reaction score 15,753 Nov 16, 2023 #2 Kwa unamjua Cardiologist? tuanzie hapo
pmm7 Member Joined Sep 28, 2022 Posts 76 Reaction score 73 Nov 16, 2023 #3 lazima usome MD 5 years then IM 3 years then lastly cardiology 2 years vyuo najua MUHAS
tss Member Joined Aug 31, 2023 Posts 73 Reaction score 41 Nov 16, 2023 Thread starter #4 Teknocrat said: Kwa unamjua Cardiologist? tuanzie hapo Click to expand... Ni daktari wa moyo ,afya na magonjwa ya moyo yaani na matatizo mengine yanayosababisha athari kwenye moyo.kiufupi ndo najua hivyo
Teknocrat said: Kwa unamjua Cardiologist? tuanzie hapo Click to expand... Ni daktari wa moyo ,afya na magonjwa ya moyo yaani na matatizo mengine yanayosababisha athari kwenye moyo.kiufupi ndo najua hivyo
tss Member Joined Aug 31, 2023 Posts 73 Reaction score 41 Nov 16, 2023 Thread starter #5 pmm7 said: lazima usome MD 5 years then IM 3 years then lastly cardiology 2 years vyuo najua MUHAS Click to expand... Asante,vp ko kama hujasoma MD huwezi kusoma hii,namaanisha hakuna bachelor ya hii kozi kw tz kama ilivyo bachelor zngne mfano dentistry?
pmm7 said: lazima usome MD 5 years then IM 3 years then lastly cardiology 2 years vyuo najua MUHAS Click to expand... Asante,vp ko kama hujasoma MD huwezi kusoma hii,namaanisha hakuna bachelor ya hii kozi kw tz kama ilivyo bachelor zngne mfano dentistry?
pmm7 Member Joined Sep 28, 2022 Posts 76 Reaction score 73 Nov 17, 2023 #6 tss said: Asante,vp ko kama hujasoma MD huwezi kusoma hii,namaanisha hakuna bachelor ya hii kozi kw tz kama ilivyo bachelor zngne mfano dentistry? Click to expand... hiyo sio bachelor ni superspeciality
tss said: Asante,vp ko kama hujasoma MD huwezi kusoma hii,namaanisha hakuna bachelor ya hii kozi kw tz kama ilivyo bachelor zngne mfano dentistry? Click to expand... hiyo sio bachelor ni superspeciality
tss Member Joined Aug 31, 2023 Posts 73 Reaction score 41 Nov 17, 2023 Thread starter #7 pmm7 said: hiyo sio bachelor ni superspeciality Click to expand... Kuna wanafunzi wapo India wanasoma banchelor asa sijaelewa wakirudi Tanzania watatambulikaje wakati hata mD hawajasoma
pmm7 said: hiyo sio bachelor ni superspeciality Click to expand... Kuna wanafunzi wapo India wanasoma banchelor asa sijaelewa wakirudi Tanzania watatambulikaje wakati hata mD hawajasoma