Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Google sijapata information yoyote ya maanakwanini usitafute google kwanza
kula like kwanzacyo lazima uajiliwe unaeza ujiajiri mwenyew
Nareferipo tu tena 2018 tunaleta BOEING DREAMLINER....SO piga book
Hakuna kozi isiyokuwa na ajiraHabarini wadau
Jamani nijuzeni kama hii kozi ya Air Ticketing inayotolewa katika hivi vyuo vya mitaani ina nafasi za ajira kweli hapa nchini kwetu au ndugu zetu wanaliwa hela tu za bure!??
Kweli Jf imepoteza diraAjira zipo nyingi hasa sumbawanga ndege ni nyingi watumishi wachache so soma tu usijali utapata ajira