Mi rafiki yangu kapata mbona coz yake ni IT
Ndugu yangu alichaguliwa National Institute Of Transport,
Bachelor degree of education with Mathematics and information technology.
Hajapewa mkopo wala Hakuna aliyepata mkopo kwa course hizi mpya,
Naomba TCU,NACTE,HESLB NA NIT watupe majibu na muafaka wao hawa waliochaguliwa course hizo mpya ambazo inaonekana wazi HESLB haikupata majina yao.
Nimewapigia simu wamenijibu kuna majina wanaendelea kuyafanyia kazi yakiwemo ya hiyo kozi kwamba tuendelee kusubili watayatoa muda si mrefu
Mm mwwnyew nipo NIT na mikopo kwa Hapo bado inaletwa kwa second lot kwakuwa ndo chuo kinategemea kupata asilimia kubwa ya mikopo kwa wanafunzi wake
sure? Unamanisha BEMIT imefutwa?
hayo majina ya hiyo koz kujua kwamba wote hamkupata. Hayo majina mmeyaona wap mpaka mtu unakuwa na hakika koz hio mpya haina mtu aliyepata??