J Joh mcCain Member Joined Dec 12, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 24, 2018 #1 Habarini wana JF nimechaguliwa NIT automobile ila ninataka kubadili nisome mechanical engineering kwa sababu siijui vizuri automobile naombeni ushauri wenu ipi kati ya hizo mbili ni nzuri na ina future poa kabisa
Habarini wana JF nimechaguliwa NIT automobile ila ninataka kubadili nisome mechanical engineering kwa sababu siijui vizuri automobile naombeni ushauri wenu ipi kati ya hizo mbili ni nzuri na ina future poa kabisa
geniusMe JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 1,313 Reaction score 1,793 Sep 24, 2018 #2 Badili tu lakini mechanical engineering nayo ndio hivyo hivyo tu ,
J Joh mcCain Member Joined Dec 12, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 24, 2018 Thread starter #3 geniusMe said: Badili tu lakini mechanical engineering nayo ndio hivyo hivyo tu , Click to expand... nashukuru kaka
geniusMe said: Badili tu lakini mechanical engineering nayo ndio hivyo hivyo tu , Click to expand... nashukuru kaka
username1 JF-Expert Member Joined Jan 14, 2016 Posts 267 Reaction score 253 Sep 24, 2018 #4 Hapo hakuna angalau wala afadhali
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,965 Oct 23, 2019 #5 username1 said: Hapo hakuna angalau wala afadhali Click to expand... ulijua kumkatisha tamaa mwenzako
username1 said: Hapo hakuna angalau wala afadhali Click to expand... ulijua kumkatisha tamaa mwenzako