Kozi inayoendana na ufaulu wangu

kachy

Senior Member
Jul 11, 2021
138
69
Habarini wana jamvi nilikua naomba msaada wa mAwazo nimemaliza form4 mwaka 2018 nikiwa na ufaulu wa DIVISION2 POINT 20 Phys-D,Chem-C,Bios-C
MATHS-F nahitaji kuomba nafasi ngazi ya diploma chuo cha muhimbili kukizi gharama kwa sabb ya uwezo wa nymban je naweza chaguliwa kozi gani pale MUHIMBILI KWENYE HIZI KOZI KULINGANA NA UFAULU WANGU
1. Diploma in orthopaedic technology
2. Diploma in environmental health
3. Diploma in nursing
4. Diploma in diagnostics radiography??????

MSAADA WENU JAMANI MUHAS KUNA BEI NAFUU
 
Habarini wana jamvi nilikua naomba msaada wa mAwazo nimemaliza form4 mwaka 2018 nikiwa na ufaulu wa DIVISION2 POINT 20 Phys-D,Chem-C,Bios-C
MATHS-F nahitaji kuomba nafasi ngazi ya diploma chuo cha muhimbili kukizi gharama kwa sabb ya uwezo wa nymban je naweza chaguliwa kozi gani pale MUHIMBILI KWENYE HIZI KOZI KULINGANA NA UFAULU WANGU
1.diploma in orthopaedic technology
2.dploma in environmental health
3.diploma in nursing
4.diploma in diagnostics radiography
??????MSAADA WENU JMAN MUHAS KUNA BEI NAFUU

IMG_0832.jpg

IMG_0831.jpg

IMG_0830.jpg

IMG_0829.jpg

IMG_0828.jpg

IMG_0827.jpg

NADHANI MATHEMATICS NDIO ILIOKUANGUSHA HAPO
 
Sema kwa nursing wameandika kua MATHEMATICS ukifaulu atleast pass utakua na added advantage.

USHAURI WANGU:

labda ujaribu kuomba hio nursing hapo
 
Kama unataka kozi za afya tu .....nakushauri omba nursing vyuo vya serikali vyote ada zao ni nafuu.
 
Nursing nliomba mwaka huu nikakosa minimum cut point ilikua one ya 16
 
Nursing nliomba mwaka huu nikakosa minimum cut point ilikua one ya 16

Omba vyuo hivi vya serikali naamini huwezi kosa...

1.MKOMAINDO SCHOOL OF NURSING (skuhizi kimeungana na Co kinaitwa masasi college of health and allied science )kipo masasi mkoa wa mtwara

2.KOROGWE SCHOOL OF NURSING kipo korogwe tanga

3.NEWALA SCHOOL OF NURSING...kipo wilaya ya newala mkoa mtwara

4.TANDAHIMBA pia nadhan pana chuo cha nursing pia

Hivyo vyote ni vya serikali,kwa ufaulu wako am sure hutokosa

ALL THE BEST
 
Back
Top Bottom