nessonlegend JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,698 Reaction score 1,514 Oct 28, 2015 #1 Habarini ndugu zangu wana JF,! Naombeni msaada wa kufahamu kozi fupi zinazotolewa na vyuo vya VETA hasa MBEYA na MOSHI ukiondoa UDEREVA, na je huwa zinatolewa kwa muda gani? Natanguliza shukrani zangu!
Habarini ndugu zangu wana JF,! Naombeni msaada wa kufahamu kozi fupi zinazotolewa na vyuo vya VETA hasa MBEYA na MOSHI ukiondoa UDEREVA, na je huwa zinatolewa kwa muda gani? Natanguliza shukrani zangu!
M Mr. Teacher JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 330 Reaction score 88 Oct 29, 2015 #2 Subiri wahusika waje kukujibu
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Oct 30, 2015 #3 Miezi sita kwa kila kozi.
M mumie mumy Member Joined Nov 21, 2014 Posts 71 Reaction score 28 Oct 30, 2015 #4 kuna koz kama upishi na computer kuanzia miez mitatu