Kakakiiza, Kova kaumwa tu kuleta cooked story. Watakachokifanya ni kupiga danadana na kisha kumtamkia KIFUNGO CHA MAISHA halafu hadithi inaishia hapo, atatolewa kimyaaaaa na kwenda kuendeleza usanii mitaani. Hawa jamaa na wafanye maigizo yao wapendavyo, lakini watanzania tulishajua tangu mwanzo anayehusika ni serikali ikitumia vyombo vyake vya maguvu. PERIOD! Jifurahisheni tu, ipo siku kila mtu ataanikwa kwa kadiri ya mchango wake. Tanzania is becoming Russia nowadays.
Sidhani kama picha itaendelea
salama, pona pona yao iwe Gwajima hujishughulisha na biashara mbaya
nyuma ya pazia, kinyume chake Gwajima atayakemea hayo mapepo hadharani,
hapo ndipo serikali itabaki uchi wa mnyama!
Kakakiiza, Kova kaumwa tu kuleta cooked story. Watakachokifanya ni kupiga danadana na kisha kumtamkia KIFUNGO CHA MAISHA halafu hadithi inaishia hapo, atatolewa kimyaaaaa na kwenda kuendeleza usanii mitaani. Hawa jamaa na wafanye maigizo yao wapendavyo, lakini watanzania tulishajua tangu mwanzo anayehusika ni serikali ikitumia vyombo vyake vya maguvu. PERIOD! Jifurahisheni tu, ipo siku kila mtu ataanikwa kwa kadiri ya mchango wake. Tanzania is becoming Russia nowadays.
Mkuu, hilo nalo ni nenohuko ulikofika siko, kimsingi hakuna mtu aliyekamatwa kuhusiana na swala la ulimboka. Hayo ni maneno tu ya kulisafisha jeshi la polisi